Asante niliipenda season za mwanzo. Nilidhani season iliyopita ndio basi kumbe wameongeza nyengine. Yule aliezaa na Kerry alivyonyongwa sikupenda kuangalia tena na yule rafiki yake Kerry alivyopata yale mateso dah. Majina yao nimeshayasahauWapenzi wa series iliyovuma kipindi cha 2016-17 Homeland na mwana Dada Kerry Matson imerudi upya na kwakishindo kikubwa Soul Katekwa na talebani itafute.