mwamba_ngori
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 251
- 295
Hii inawahusu wale wanao fuatilia mziki wa rapp
Kenya kuna rapper maarufu kabisa kwa jina la Khaligraph Jones. Lakin nimekuja kujua kuna Group flan lipo Kenya hawa jamaa wana jiita AFROCENTRIC . Asee hawa jamaa wana rap ile Hatari Wenda wakaanza kumtisha Khaligraph.
Na mmoja kati yao ambaye anaonekana Kuwa Bora zaid huyu jamaa jinsi anavyo rap naweza kumlinganisha na Khaligraph kwa kias Flan mpaka kwenye Ngoma ya KhaliCartel 2 alikuwemo huyu jamaa Anaitwa KATAPILLA ni jamaa mwenye skill sana za kurapp Tanzania cjaona kabxa wa kuzid Hawa jamaaaaa.
Afrocentric wana Ngoma zao angalia YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app