Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,187
- 26,211
Nimekuwa muhanga wa kudownload series mzigo mzima halafu mwisho wa siku najilaumu baada ya kuona nilikosea kuchagua!Mara nyingi huwa nasoma tu short story ya series,itakayonipendeza naichukua!
Nimejikuta naingia chaka mara nyingi sana maana nyingi huwa zinakuwa kinyume na matarajio yangu!
Kwa kuanzia mimi naona hizi ni series nzuri nilizowahi kuziona,nawe share ulizonazo twende pamoja!
1.24
2.Prison break
3.Game of thrones
4.Nikita
5.Legend of the seeker
6.Money heist(bado haijamalilizika)
7.Arrow
8.Homeland
Na kuendelea!
Katika zote,tatu za juu ni the best kwangu!Natamani nipate mfano wake!
Share hapa uzoefu wako tafadhali!