Idea for Documentary film

Idea for Documentary film

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
5,240
Reaction score
7,094
Habari

Binafsi Huwa napenda kutizama Documentaries tofauti hasa za nje

Inawezekana kuna Wadau hapa Wana idea flani nzuri za Documentaries ambazo wangependa zitengenezwe siku moja

Kama Una idea flani ya Documentary ya Kiafrica hasa kwa Mazingira ya Tanzania (na Wewe sio mtu wa Video Production), means hutakuja kufanya coz sio fani yako.. unaweza kuweka idea hapa

Thanks.
 
Back
Top Bottom