LOVE STORY: PENZI PENZINI
SEHEMU YA 1.
AGE : 18+
Alice ni msichana mrembo wa sura na umbo, ana rangi ya choculate, mrefu wa wastani na ana macho ya kusinzia, shavuni ana vitundu vidogo viwili ambayo huonekana anapocheka (dimpoz) na mdomoni katikati ya meno yake ya mbele kulikuwa na nafasi(mwanya) .Vitu hivi vyote vilimfanya aonekane mzuri na wa kipekee zaidi. Mbali na uzuri wote huo alikuwa na mwendo wa kimiss ambao ulihakisi uzuri wa umbo lake ambalo kwa wakati huo alikuwa ni mwembamba sana.
Udhaifu wake mkubwa ulikuwa ni kucheka cheka ovyo hali iliyomfanya kutamaniwa sana na wavulani kwani kitendo cha kucheka kiliruhusu mwanya na dimpoz kuonekana mda mwingi vitu ambavyo vilimfanya aonekane kuwa ni mzuri sana.Kwa kulijua hilo mda mwingi alikuwa ni mtu wa kutabasamu na kufurahi jambo lilomfanya aingie kwenye orodha ya wanawake wazuri huku dunini.
Vigezo hivi vya Alice havitofautiani sana na Gaston ambayo ni handsome boy aliyejaliwa uwezo mkubwa darasanii na huwa ni kivituo cha wasichana wengi .Pamoja na mambo mengne pia Gaston ni maarufu kwa kipaji chake cha kucheza mpira wa kikapu (basketball).Gaston pamoja na uhandsome aliojaliwa pia ni mstaarabu, mpole na mtanashati vigezo vinavyomfanya kuwavutia wadada wengi. Pamoja na kuwa na vigezo vingi bado hakuwa mtu wa mademu na alikuwa na msimamoo sana na kuamini kuwa siku zote anapaswa kuwa na msichana mmoja.