WAPENZI WA NAIGERIAN MOVIE AND SERIES.

Titia

Senior Member
Jul 3, 2013
155
113
Wadau habari za maujukumu,
kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya kuangalia na sisi. hii inahusu movie hata za kizungu na black american mf. movie ya Nobody is fool yumo Ghost na nyinginezo.
kwa kuanza nataja movie ambazo nimeshaangalia kwenye youtube ambazo ni nzuri tu

Househusband, Belinda Efe kemeth okolie
mr. and mrs, Nse Ikpe, na Benjamin Joseph
my matrimonial home (i cant satisfy you) Rita Dominick na Jym Ike
private storm, Ramsey Noah Omotola Jalade na John Dumelo

halafu kuna series nzuri sana yaani hutochoka kuangalia
mens club
skinny girl in transit.
zipo nyingi nyingi tu nimesahau majina ntakuwa naweka kila nikikumbuka.
wadau tutajiane movie basi au series zilizotulia ambazo twaweza angalia youtube.
karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom