May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,367
- 9,118
Kuna huu wimbo wa huyu Gwiji wa miondoko ya Sukus, ambaye amejipachika majina lukuki, mara sijui Mopao Mokonzi, Sakozi n.k.
Huu wimbo nimeusikia ukichezwa jana kwenye Bar moja wakati tunafuatilia mechi ya Simba na Vita, baadhi ya mashairi husikika kama matusi akitamka "coomer inauma..coomer inauma",.
Ningetamani sana wajuzi wa mambo ya kilingala waniambie ni maneno gani haswa hutamkwa pale, na kama ni kiswahili ni ndicho haswa alichomaanisha Gwiji huyu?