MIGUGO
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,137
- 3,952
Album imetoka Machi 20,2020 ina nyimbo 17 nadhani.Bonge la album jina ni After hours.Ukiangalia video zake za hii album kama kuna short movie flani.
Inasemekana imekuwa inspired na movie kama Casino,Joker na Uncut gems.Kuna hits nyingi kama in your eyes,heartless,After hours ilobeba jina la album. Napenda nyimbo zake zina mitindo ya punk mfano hii blinding light.
Huyu Mcanada genius sana.