Filamu ya FURIE

Filamu ya FURIE

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,536
Reaction score
3,885
Image may contain: 2 people, text

Ameishi akiwa muuza mwili familia ikamtenga. Alipopata mimba iliyotokana na kazi yake hiyo akaamua kuachana nayo na kutoka kabisa nje ya mji kulea mimba na mwanae ataezaliwa. Akabadilika kimaisha, akaamua kuwa mama, badala ya kahaba.

Siri aliyonayo moyoni waliijua ndugu zake tu, walioishi nae hawakuwahi kumuona akiivujisha siri hiyo sababu hakuionesha hadharani.

Kikundi cha maharamia wanaofanya kazi ya kuteka watoto na kwenda kuwafanyia operesheni na kuwatoa figo na kuziuza, walivamia kijiii alichoishi mama huyu wakachukua watoto waliokuwa wanazagaa kiajabu ajabu. Walipomaliza kuwateka, wakafanya kosa lililowagharimu, waakamchukua na mtoto wa mama huyu, bonge la kosa.

Siri aliyonayo mama huyu ni siri ya familia aliyotoka, ni familia ya wana martial arts. Nyumba nzima wanapiga ngumi mpaka kero. hakuna mtu katika familia yake aliekuwa anaweza kuguswa kizembe, kaka moto, dada moto, mama usiseme, baba ndo mwalimu. Ni nyumba ya mashujaa haswa.

Maharamia wateka nyara wana kauli yao wanasema "ukitufata ukatupata utakuwa umefika sehemu isiyo sahihi" Sababu wanajiamini wana watu.

Mwanamama huyu aliwatafuta akawapata, akawaambia "mmemchukua mtoto asie sahihi"

#Kwa wapenda ngumi tu#.
#One of da best thriller martial arts movie#
 
Nitaitafuta inaonesha ni nzur sanaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Story ya hi movie nmeipenda, mwenye link tafadhal
 
Hii movie ninayo, huwa naipitaga kama sioni vile, ngoja leo niicheki
 
Image may contain: 2 people, text

Ameishi akiwa muuza mwili familia ikamtenga. Alipopata mimba iliyotokana na kazi yake hiyo akaamua kuachana nayo na kutoka kabisa nje ya mji kulea mimba na mwanae ataezaliwa. Akabadilika kimaisha, akaamua kuwa mama, badala ya kahaba.

Siri aliyonayo moyoni waliijua ndugu zake tu, walioishi nae hawakuwahi kumuona akiivujisha siri hiyo sababu hakuionesha hadharani.

Kikundi cha maharamia wanaofanya kazi ya kuteka watoto na kwenda kuwafanyia operesheni na kuwatoa figo na kuziuza, walivamia kijiii alichoishi mama huyu wakachukua watoto waliokuwa wanazagaa kiajabu ajabu. Walipomaliza kuwateka, wakafanya kosa lililowagharimu, waakamchukua na mtoto wa mama huyu, bonge la kosa.

Siri aliyonayo mama huyu ni siri ya familia aliyotoka, ni familia ya wana martial arts. Nyumba nzima wanapiga ngumi mpaka kero. hakuna mtu katika familia yake aliekuwa anaweza kuguswa kizembe, kaka moto, dada moto, mama usiseme, baba ndo mwalimu. Ni nyumba ya mashujaa haswa.

Maharamia wateka nyara wana kauli yao wanasema "ukitufata ukatupata utakuwa umefika sehemu isiyo sahihi" Sababu wanajiamini wana watu.

Mwanamama huyu aliwatafuta akawapata, akawaambia "mmemchukua mtoto asie sahihi"

#Kwa wapenda ngumi tu#.
#One of da best thriller martial arts movie#
Bonge LA movie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Veronica Ngo stars as an ex-gangster who is lying low in the countryside after becoming a mother, but she can't escape her violent past when her daughter is kidnaped.
IMG_20200416_202417_721.JPG

Melvine
 
Back
Top Bottom