TV SHOW KALI YA KUITAZAMA 2020

TV SHOW KALI YA KUITAZAMA 2020

Fabijr

Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
24
Reaction score
20
FOR LIFE ni tamthilia ya kimarekani iliyotengenezwa na Hank Steinberg, Ilirushwa na kitua cha terevisheni cha ABC mnamo Februari 11, 2020.

Tamthilia hii inahusiana na kisa cha kweli cha bwana Isaac Wright Jr.., ambaye alihukumiwa kufungwa kwa kosa ambalo hakulifanya. Wakati akiwa gerezani alipata uwakili wa kupambania hukumu yake na wenzake ishirini...

Je, ataweza kuipata haki yake ?.... Ni Tamthiria nzuri sana Ipakue na kuitazama bure kupitia link hii hapa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom