Zuchu WCB,extended playlist (EP)

Zuchu WCB,extended playlist (EP)

emmadeclassic

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
304
Reaction score
133
Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel zao za online ,na leo ameiachia rasmi huko boom play ikiwa na ngoma saba ambazo ni
1.Wana
2.Raha
3.Nisamehe
4.Kwaru
5.Ashua ft Mbosso
6.Mauzauza ft Khadija kopa
7.Hakuna kulala.
Mi kwangu Ashua ndo bonge moja la Song (jeshini Chenja) je we Mdau unaionaje EP hii na je dogo Zuchu atafika mbali au kazingua ,kama umeipenda taja na favourite song unayoikubali .

Wenu..MD EJM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI NIMEIKUBALI RAHA NI KALI PIA,ALIKIBA AJIANGALIE ATAKIMBIZWA HADI NA MTOTO WA KIKE
 
Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel zao za online ,na leo ameiachia rasmi huko boom play ikiwa na ngoma saba ambazo ni
1.Wana
2.Raha
3.Nisamehe
4.Kwaru
5.Ashua ft Mbosso
6.Mauzauza ft Khadija kopa
7.Hakuna kulala.
Mi kwangu Ashua ndo bonge moja la Song (jeshini Chenja) je we Mdau unaionaje EP hii na je dogo Zuchu atafika mbali au kazingua ,kama umeipenda taja na favourite song unayoikubali .

Wenu..MD EJM

Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie kwanza EP ni nini ?
 
Hakuna kitu humo Promo kubwa msanii wa Kawaida nyimbo za kawaida sana Zimebebwa na Promo
 
Nisamehe ndio favorite song kwangu inahisia alafu Ina uandishi mzuri Sana.
 
Wadau kama tunavojua Zuchu ni msanii mpya alietambulishwa na Record label ya WCB iliyopo chini ya Diamond platnumz hapo juzi na kutambulisha EP yake hapo jana usiku kupitia wasafi TV na channel zao za online ,na leo ameiachia rasmi huko boom play ikiwa na ngoma saba ambazo ni
1.Wana
2.Raha
3.Nisamehe
4.Kwaru
5.Ashua ft Mbosso
6.Mauzauza ft Khadija kopa
7.Hakuna kulala.
Mi kwangu Ashua ndo bonge moja la Song (jeshini Chenja) je we Mdau unaionaje EP hii na je dogo Zuchu atafika mbali au kazingua ,kama umeipenda taja na favourite song unayoikubali .

Wenu..MD EJM

Sent using Jamii Forums mobile app
Naupenda Nisamehe
 
Back
Top Bottom