ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,260
Ina maana mpaka leo hii ngoma bado ni no moja on YouTube trending asee.
Pamoja na kupondwa kote huku hii ngoma, kwamba ni mbaya ila bado inatamba kiasu hiki mpaka leo.
Najiuliza sasa wanaoifanya itrend ni kina nani kama wenye IQ kubwa humu JF mnatuaminisha kuwa hii ni ngoma mbaya zaidi kuwahu kutolewa na Ali Kiba nasubiri majibu, ila kwenye hoja zenu msi involve neno love.
Povu pia ruksa!!
Sent using Jamii Forums mobile app