Harmonize TZ na ETV: Je, ni support au kuna cha zaidi?

Harmonize TZ na ETV: Je, ni support au kuna cha zaidi?

emmadeclassic

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2015
Posts
304
Reaction score
133
Leo katika kukaa quarantine hapa hope nkiwa nmefungulia channel ya ETV ya bwana Majizzo, nimeshuhudia ngoma za harmonize TZ zikipigwa kila muda. Je, ni support ya Majizzo tu kwa Harmo au ni Konde Gang Worldwide wamewekeza hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kawekeza pale
Ni mpango mkakati tu wa kushindana na wcb wasafi
Kumbuka kutoka kwa rich mavoko pale wcb wasafi kulichagizwa sana na E-fm kupitia presenter wao yule dokii
Now wamemkumbatia konde.

son of almighty God.
 
Kama inakuja hiv
 
Acha ujuaji wewe Dokii ni dada Yake rich mavoko , kwao ni Makumbusho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom