Verse za Nay Wa Mitego kukatwa kwenye Bed Room Remix ya Harmonize

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,878
1,849
Kwa wale tuliosikiliza audio kabla ya Video tutakubaliana kuna mabadiliko. Ilivyo ni kwamba, audio ilikuwa inamaliziwa mwishoni kabisa na Nay Wa Mitego ndiyo goma linaisha.

Sasa picha linabadilika kwenye Video - Hatumuoni Nay Wa Mitego wala kusikia verse zake. Kwanini? Zilifutwa au ilikuwaje kuwaje? 😂 Sanaa na wasanii! Mimi napita tu.
 
Back
Top Bottom