Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,806
- 7,684
Wadau mada hapo juu yaeleweka.
Siza, Masoud(KP) na Babra hawasikiki Clouds FM Power Breakfast. Badala yao wapo watukutu watatu. Wawili wanatoka XXL ambao ni Adam Mchomvu na Sinyorita aka Sesenyor au chai ya maziwa. Mwingine ni Captain Gardner G Abash kutoka Jahazi.
Kwanini kuna badiliko kubwa redioni Clouds Leo?