kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Mmetupumzisha na ile miziki yetu ya ngono! Nimefurahi sana kusikia mnapiga nyimbo za wasanii wengine wa zamani kama TMK, lady JD n.k
Zile nyimbo za sijui nilikagusa kakalegea, nimelowa tepe tepe, sijui ingiza yote tango,mara katika kiuno imekolea zinanikera mnoo. Na nilidhani ni mimi kwa sababu ya age ila nina biashara katika maeneo yenye wanachuo wengi nikiwapigia hizo nyimbo zinawakera sana.
Nahisi huwa hamfanyi utafiti kujua Wateja wenu wanataka nini. Ila kwa leo nawapa kongole kumbe bado kuna watu wanatumia akili sana hapo
Sent using Jamii Forums mobile app