sawee225
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 3,227
- 12,125
Naangalia clouds apa kipindi cha ala za roho ambapo watangazaji ni Meenah ally jose mara na Dr Izack
Tangu asubui naona vipindi vyoye vipo tofauti...
vipindi vyote vimebadililshiwa watangazaji kwa mfano Adam mchomvu (baba jonii) alikuwa kwenye PB asubui wakati B12 alikuwa kwenye jahazi...sasa namuona meena ally kwenye ala za roho full vituko na mauno anayakata kweli japokuwa flatscreen kwakweli iki kinachoendelea clouds na vituko vitupu
Sent using Jamii Forums mobile app