Mmetupumzisha na ile miziki yetu ya ngono! Nimefurahi sana kusikia mnapiga nyimbo za wasanii wengine wa zamani kama TMK, lady JD n.k
Zile nyimbo za sijui nilikagusa kakalegea, nimelowa tepe tepe...
My Take:
Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.
Wakuu hii movie ya kivita ambayo star mwanzoni alimkamata nyoka na kunywa sumu yake kwenye glasi, ninaitafuta mno lakini sijawahi hatakuiona kila nikigoogle. Tafadhali mwenye taarifa za movie hii...
Katika kipindi hiki cha korona mikusanyiko hairuhusiwi, vilevile show nazo haziruhusiwi.
Tukiachana na Diamond Platnumz ambae hata asipopiga show anapiga pesa kwa Wasafi Media, YouTube views...
Karibu katika Simulizi Mwanzo - Mwisho ya PENDO HURU.
Nafasi ya Mapenzi ya kweli katika jamii,
Nafasi ya wazazi katika mapenzi ya watoto.
Mioyo migumu iliyobeba siri zinazo angamiza nchi...
Habarini wakuu.
Leo mida ya saa nne kasoro katika kipindi cha Power Breakfast Kasoro Clouds imepiga rasmi wimbo wa Komando Jide Joto Hasira.
Kipindi hicho kilichoongozwa na Gardner Habash...
Kipindi cha vichekesho chenye ubunifu wa aina yake na mimi nimiongoni mwa fan wa kipindi hiki Cha Jambo na Vijambo ambacho hapo awali kilikuwa kikirushwa na East Africa TV na kilikaa muda mrefu...
Jana Alikiba alikua Live kwenye kipindi cha Homa Tve akitoa burudani kwa wapenzi wa Mziki mzuri, Pia alipata nafasi ya kumtambulisha msanii wake mpya Tommy kwa mshitukizo wa ngoma yao Mpya kabisa...
Niaje wakuu
Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja.
Yaani King Kiba mpaka Wakenya...
Album imetoka Machi 20,2020 ina nyimbo 17 nadhani.Bonge la album jina ni After hours.Ukiangalia video zake za hii album kama kuna short movie flani.
Inasemekana imekuwa inspired na movie kama...
Ina maana mpaka leo hii ngoma bado ni no moja on YouTube trending asee.
Pamoja na kupondwa kote huku hii ngoma, kwamba ni mbaya ila bado inatamba kiasu hiki mpaka leo.
Najiuliza sasa wanaoifanya...
Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva..
..Kipaji...
Katika mabadiliko ya vipindi jana Clouds TV walikuwa wanakitambulisha kipindi kipya cha Wakongwe wa fani, na jana ilikuwa zamu ya Inspector Haroon na Juma Nature.
Kwa waliotazama jana naomba...
Leo nipo safarini basi nililopanda limefanya nifungue huu uzi. Kiukweli inafikia mahali safari inakua mbaya kutokana na hizi burudani zinazotolewa kwenye mabasi.
Yani miziki inayopigwa haina...
Mwaka huu kulikuua na muvi nyingi nzuri zinatarajiwa kutoka hasa miezi ya mwanzoni then shit happened..Corona.
Kwa wapenzi wa filamu tatakutana hapa kujuzana athari za Corona Viruses kwenye...
Ameishi akiwa muuza mwili familia ikamtenga. Alipopata mimba iliyotokana na kazi yake hiyo akaamua kuachana nayo na kutoka kabisa nje ya mji kulea mimba na mwanae ataezaliwa. Akabadilika kimaisha...
.
By Sangu Joseph
.
Mxieeeew! Ngoja nianze kwa kumsonya ndugu Mfalme japo nahofia sana Team Kiba kuja kunishambulia, kwa sababu tu ya kuandika mawazo yangu, Ila kiukweli Mfalme Alikiba ni moja ya...