Dar mpaka Moro - Chege, Temba na YP

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
14,501
26,999
Basi kama vipi Chege twende Moro, aaah haya!
Haina noma Y-P basi twende Moro, aaah haya!

Haina noma baby nitakuja Moro, cool dear!
Ila subiri kwanza nichonge na masela, cool dear!

Kama kunaendeka nijue kama hakuendeki nijue, (wapi?) Dar mpaka Moro..
Kama kunaendeka nijue kama hakuendeki nijue, (wapi?) Dar mpaka Moro..!


Vya dezo vinaponza muulize hata afande Hozza.

Mi simo!
 
Back
Top Bottom