hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 151
Hawa jamaa wakuitwa Sauti Sol ni hatari. Nasikiliza hii ngoma wakiwa na BurnaBoy inaitwa Afrikan Star ni hatari. Good Melody,Lyrics,Beats Etc.🔥🔥
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa kundi lao jamaa hatari..
Nakuja kugundua huyu jamaa mrefu ni zaidi kwa kundi lao jamaa hatari..