Huyu ndiye msanii wa mziki wa Afrika kwa sasa

Tajiri Mapesa

JF-Expert Member
Feb 26, 2020
707
698
Habari wana jamii forum.
Kiukweli hili halina ubishi wakuu.

Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika.
Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo labda kakulia marekani. Kila mtu alikili kuwa huyu msanii sio wa Afrika hii.

Ukisikiliza vizuri unaweza kusema labda huyu apambanage na wasani wakubwa wa Marekani.
Huyu ndiye msanii wa Afrika kwa sasa.

Akina Diamond, Alikiba, n.k wamtafute huyo dogo awafundishe mziki. Ikiwezekana hata washirikiane naye. Ili Afrika apate wasani wengi wenye uwezo wa kuimba kama hawa.

Kiukweli ukimsikiliza ni anaimba haongei.
IMG-20200615-WA0010.jpg
 
Anaogopa nini kufungua akaunti YouTube ulimwengu kupitia nguvu ya umma tupate kuamua kuwa kweli ni msanii wa muziki tajwa duniani.

YouTube husaidia wote wanaoingia ktk fani yoyote bila zengwe la producer, vituo vya TV au Redio kubania wala promoters watakao mshiko.

Zambia ndiyo kwao vipi hatumfahamu wafuatiliaji wa muziki wenye ubora ulimwenguni ?

Tatizo hili la woga na kutotumia media huru kama Youtube linawakabili hata sisi waTanzania iwe ni msanii, mjasiliamali, mwalimu, fundi gereji, mjezi, profesa, baharia n.k

Bora waganga wa kienyeji na wale wahubiri wa imani wanajitahidi kutupia vitu YouTube na wamefanikiwa sana kazi zao kutambulikana.

Fani zingine mjitokeze kutumia fursa za buree YouTube.
 
Habari wana jamii forum.
Kiukweli hili halina ubishi wakuu.

Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika.
Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo labda kakulia marekani. Kila mtu alikili kuwa huyu msanii sio wa Afrika hii.

Ukisikiliza vizuri unaweza kusema labda huyu apambanage na wasani wakubwa wa Marekani.
Huyu ndiye msanii wa Afrika kwa sasa.

Akina Diamond, Alikiba, n.k wamtafute huyo dogo awafundishe mziki. Ikiwezekana hata washirikiane naye. Ili Afrika apate wasani wengi wenye uwezo wa kuimba kama hawa.

Kiukweli ukimsikiliza ni anaimba haongei.
View attachment 1480490
Siyo bure utakua umepewa 10% Siyo kwa kampeni hizoo aisee
 
Aiseeee bonge la mwimbaji daaa, yaani ukicheza hapo ndipo utajua nini mtoa mada ameandika..!!
😭😭😭😭😬😬😬😬👣
 
🤣🤣🤣🤣
@DaudiMchambuzi Unacheka Nini? Anaweza mtoa mada akawa sahihi wasanii aliowafanyia reference wenyewe hawana uwezo mkubwa Sana wa kuimba labda angemtaja bele 9,Rama Dee,Ibra nation kwangu Hawa ndio wanauwezo mkubwa Sana wa kuimba sema tatizo hawana nyota.
 
Habari wana jamii forum.
Kiukweli hili halina ubishi wakuu.

Ukimskiliza huyu dogo anavyoimba sijaoana wa kumpanisha naye hapa Afrika.
Nilipomalza kumsikiliza kila mtu alikataa akasema huyu dogo labda kakulia marekani. Kila mtu alikili kuwa huyu msanii sio wa Afrika hii.

Ukisikiliza vizuri unaweza kusema labda huyu apambanage na wasani wakubwa wa Marekani.
Huyu ndiye msanii wa Afrika kwa sasa.

Akina Diamond, Alikiba, n.k wamtafute huyo dogo awafundishe mziki. Ikiwezekana hata washirikiane naye. Ili Afrika apate wasani wengi wenye uwezo wa kuimba kama hawa.

Kiukweli ukimsikiliza ni anaimba haongei.
View attachment 1480490
Mzee nimejaribu kumseach YouTube sijamuona.
 
Anaogopa nini kufungua akaunti YouTube ulimwengu kupitia nguvu ya umma kuamua kuwa kweli ni msanii wa muziki taja duniani.

YouTube husaidia wote wanaoingia ktk fani yoyote vila zengwe la producer, vituo vya TV au Redio kubania wala promoters watakao mshiko.

Zambia ndiyo kwao vipi hatumfahamu wafuatiliaji wa muziki wenye ubora ulimwenguni ?
Mwenyewe nimeshangaa sana, kwanini hana account youtube? Kwasababu anaonekana anaimba mziki wa kimarekani, sasa iweje amekosa akaunti youtube. Na kama angeweza kufungua akaunti youtube ikai ibland vizuri hakika huyu dogo watamchukua U.S
 
Back
Top Bottom