Wapenzi wa commedy kati ya Buster keaton,Charlie chaplin na Mr Bean yupi ni zaidi ya wote duniani?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
475
Kabla ya kujibu nakupa mda uingie youtube hakika ndugu ukiwa na stress ndugu ingia youtube uangalie tu utasuuzika mtima
Karibuni dude hilo wazee
 
kwa muda huu
the bing bang theory ndio comedy show bora duniani
 
Mr bean anaanza anakuja Chaplin, wanakuja wengineo.

  • Mr bean ni one man army. Yeye hata akikaa pekeake atakuchekesha tu. Kuanzia sura, posture na vitendo vyake. Hategemei mtu mwingine ili ucheke, ni yeye, idea zake za kipuuzi na mazingira yaliyomzunguka.
  • Charlie yeye comedy zake nyingi nilizoziona anahusisha watu, wale wenzake ndo anawageuza makatuni na action zake kwao ndo zinachekesha.
  • Charlie yeye anatumia akili sana ili kuchekesha. Ila Mr bean anajitoa akili ili kuchekesha.
 
75b50396505263662229348612558963.jpg
 
Back
Top Bottom