Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Hivi kuna kiumbe kwa karne hii anafanya pop music. Na anauwezo wa kuimba kumzidi huyu Ed Sheeran? Nasikiliza hapa Thinking out Loud🙌
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Akiwa na miaka 10 kwa industry Rapper drake aka drizzy siku ya jana aliweza kuvunja na kuweka rekodi yake mpya kwenye charts kubwa duniani za billboard. Billboard ilimtangaza drake kuvunja rekodi...
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Wapo wenye mtazamo kuwa bifu hutengenezwa ili kuleta ushindani katika soko la burudani Kama vile movie au muziki kwa mfano Alikiba Vs Diamond. Je, unahisi ni kweli?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Haya makundi mawili ya waigizaji yamejizolea umaarufu sana kwa kutengeneza filamu kali zinazobamba saaana. EXPENDABLE = hii series ya movies imesheheni Waigizaji wakongwe na waliotamba saana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
EMERGENCY SALVATION He was a play boy, professional womanizer, When it came to women, he was no miser, He loved to party He carried them all, Tall, slim, even fatty One day, he decided to settle...
0 Reactions
2 Replies
577 Views
Habarini wakuu....Mtu ukikikumbuka kitu basi nakuwa kama nnaarosto nacho hivi.Iyo movie Nimeisahau jina ila nakumbuka storyline kwa uchache...Nahisi star ni Ramsey Noah, Ramsey (kama ndiye)...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Sababu Kuu ya Ziwa hili Kuwa na Ndege wengi sana Aina ya Flamingo ni Kwasababu Katika Ziwa hili Kunapatikana Bakteria Wengi sana Wanaozaliana na Hii ni Kutokana na Ziwa Hilo kuwa na Chumvi Nyingi...
13 Reactions
18 Replies
8K Views
Habari wakuu? Watu wengi wamekuwa wakiangaika mahali ambapo wanaweza kupata nyimbo ambazo hawatachoka kusikiliza. Hii hapa ni orodha ya nyimbo zote nzuri za misimu tajwa. Orodha bora ya mziki...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hallow Mimi ni Muimbaji wa nyimbo za injili, nimejiuliza hill swali kwann sisi hatufanyi matamasha makubwa kama tunavyoona wenzetu wakifanya? Shida ni nini? Maana najua tupo waimbaji wengi ambao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna maswali najiuliza kwenye hii professional wrestling ambayo wanasema sio ya kweli bali ni show kwa ajili ya entertainment hivi wa nafanya katika haya: -zile ngumi, mateka vinavyopigwa...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Mimi nashangaa kwamba kila tamthilia au movie ni lazima wawepo Yaani ni pete na kidole Nashindwa kujua ni kwanini kila tamthilia wawepo au ndo masharti ya waganga wa huko ufilipino Mfano huyu...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari, Wakuu leo ilikuwa bonanza watanzania wanaotumia twitter yaani Tanzanians on Twitter. Nilifanikiwa kuhudhuria na kujifunza mambo kadha wa kadha. Kubwa katika hili Bonanza ni kuimarisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Klabu ya Bongo Movie Unity imedaiwa kuingia kwenye mpasuko mkubwa baada ya baadhi ya viongozi kutangaza kuachia ngazi kwa madai ya kuwa mwenyekiti wao, Steven Mengere ‘Steve...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Chombezo: MZEE WA DODO Sehemu: 01 Mtunzi: Ally Mbetu SIMU: 0713646500 Tumu aliingia chumbani kwake akiwa na hamu na mkewe baada ya kutoka kuoga pamoja na yeye kumwacha akijipaka mafuta na...
3 Reactions
32 Replies
18K Views
NINA STAHILI LAWAMA. Na. Robert Heriel. Maandishi ya Robert Heriel, Kwa Lugha ya kiswahili Kila kitu nilikiona cha muhimu. Hata yale niliyokuwa ninayachukulia kama mambo ya kawaida nilianza...
2 Reactions
0 Replies
718 Views
Naleta mashtaka kwako baba Paroko, naleta mashtaka kwenu kanisani, mimi na mama ya watoto nyumbani kivumbi na jasho. Nyumbani hapaliki wala hapalaliki, kisa na mkasa Paroko sielewi Ni wiki ya...
2 Reactions
21 Replies
19K Views
Habarini Jf members, Napenda tushee ideas kuhusu simulizi hapa jukwaani kwa mwaka huu unaoisha. Kwa upande wangu simulizi zilizonisisimua zaidi ni: 1:Mke wa Rais 2:Peniela(story ya kijasusi)...
2 Reactions
115 Replies
21K Views
Sizungumzii Hiphop ya Tanzania bali nazungumzia hip hop ya Marekani. Huu mziki asilimia 90 ya nyimbo ni matusi, kuuana, ngono, visasi, madawa , majigambo, ujambazi n.k. Kiufupi ngoma nyingi za...
4 Reactions
52 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…