Nani ana uwezo wa kuimba zaidi ya Ed Sheeran?

Hivi kuna kiumbe kwa karne hii anafanya pop music. Na anauwezo wa kuimba kumzidi huyu Ed Sheeran? Nasikiliza hapa Thinking out Loud🙌
So, honey, now
Take me into your loving arms
Kiss me under the light of a thousand stars
Place your head on my beating heart
I'm thinking out loud
Maybe we found love right where we are
 
Kila wimbo wa Ed sheeran ni jiwe nlijaribu kutafuta wimbo mbaya nliishia kuferi tu
Mpaka sasa 99% ya nyimbo nlizosikiliza hajaniangusha
ila kwenye video cjui huwa anawaza nn.?
 
Wakati alipoonesha nia ya kuimba wakamwambia hafai, sababu ana sura mbaya kwa hivyo hatapata soko, hakukata tamaa alipigania ndoto yake,
Look at him now,

Sam Smith nae anakuja mbioo.
 
kwanini bongo fleva wasiige kw asilimia chache na kupunguza yale matusi kidogo....yani wimbo kusikiliza karibu na mtu unaye muheshimu unaona tabu na aibu.....
 
Back
Top Bottom