Niliacha kusikiliza HIPHOP kwa sababu ni muziki usioongeza maarifa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Sizungumzii Hiphop ya Tanzania bali nazungumzia hip hop ya Marekani.

Huu mziki asilimia 90 ya nyimbo ni matusi, kuuana, ngono, visasi, madawa , majigambo, ujambazi n.k. Kiufupi ngoma nyingi za hiphop hazikuongezei kitu kichwani ni nzuri kama unasikiliza biti au wanavyo flow bila kuyaelewa mashairi.

USHAHIDI WA NYIMBO ZILIZOWAHI KUKIMBIZA HUKU ZIKIWA ZA KIPUUZI

IN DA CLUB 50 CENT

You can find me in the club, bottle full of bub
Look mami I got the X if you into taking drugs
I'm into having sex, I ain't into making love
So come give me a hug if you into to getting rubbed

BIG POPPA@ NOTORIOUS BIG

To all the ladies in the place with style and grace
Allow me to lace these lyrical douches, in your bushes (uh)
Who rock grooves and make moves with all the mommies
The back of the club, sippin' Moet, is where you'll find me (what?)
The back of the club, mackin' hoes, my crew's behind me (uh)
Mad question askin', blunt passin', music blastin'
But I just can't quit
Because one of these honies Biggie gots ta creep with
Sleep with, keep the ep a secret, why not

TUPAC - HIT EM UP
First off, https://jamii.app/JFUserGuide your bitch and the click you claim
Westside when we ride come equipped with game
You claim to be a player but I fucked your wife
We bust on Bad Boy niggaz fucked for life
Plus Puffy tryin' ta see me weak hearts I rip
Biggie Smalls and Junior M.A.F.I.A. Some mark-ass bitches


Ukisoma hayo mashairi wa nyimbo hizo zilizowahi kusmbua sana redioni unakuta ni ujinga mtupu uliokuwa ukiimbwa,
 
Sio hip hop tu wanamuziki wa kimarekan tungo zao nyingi ni

Sikiliza country&soul upate mawaidha

Sikiliz r&b ile ya zamani sio hii ya kina chris brown
Wiki hii nipo na Country, mashairi safi, burudani kama kawa

Cheki hii, Japo ya mapenzi hakuna maneno machafu na ni kastori kanakovuia mno
 
Sijawahi kuwa mpenzi wa aina hii ya muziki. Na zaidI nikisikia vifo vya akina Tupac na mahasimu wao, nausikia kwa mbali mtu akipiga, ila situmii hata thumni kuununua.
 
Kwanza kabisa mziki kazi yake si kuongeza maarifa tu, kazi yake kuu ni kuburudisha

Unajua mwaka jana Mwanamuziki wa hiphop Kendrick Lamar alishinda Pulitzer Prize ambayo ni award ya uandishi mahiri inayoshindwanisha kwa waandishi wa vitabu na poems
Je unajua katika nguzo tano za hiphop knowledge ni moja nguzo hizo
 
Mikasi ya ngwear........twenzetu ya chege.... ...matawi ya juu ya langa.... Makuzi ya nay.......sio hipbhop tu
 
Tupac na nyimbo za Dear Mama na Change ni nzuri sana zina maneno yenye busara na hekima kama sio Tupac wa kutukana alivyomsifia mama yake kuanzia utoto wake mpaka alipokua mtu mzima...
 
Tupac na nyimbo za Dear Mama na Changes ni nzuri sana zina maneno yenye busara, hekima na kutoa burudani, tatizo ni kwamba asilimia 90 ya ngoma za tupac haziongezi kitu kichwani maana zimejaa uhuni.
Ndio mana nikasema ni nyimbo chache mno za hiphop zinazoelimisha na kuburudisba, mtu akiimba kwa ustaarabu hata wastaarabu wataisikiliza na ndio maana hizo ngoma za tupac za changes na dear mama hazichujagi mpaka Leo, ukija wimbo kama hit em up inasikilizwa na wahuni tu hutakuja kumuona mstaarabu anaisikiliza.
Kasikilize CHANGE, DEAR MAMA nk by tupack.Dear mama ni All time songs kuwaenzi mama zetu.ksma upo mwingine naomba title.
Sasa ndo ujiulize kwanini mtu akiimba kiustarabu bila matusi ngoma inakuwa all time song, tupac kwa hizi ngoma zake za kistaarbu zinazoelimisha alipata mashabiki wengi sana, ila ubaya ni kwamba aliimba nyimbo chache sana za kistaarabu huku akiachia ngoma nyingi zilizojaa visasi, ngoni, madawa, majigambo, n.k
 
Binafsi Nas,Eminem na 2pac nawaona kama watu wenye nyimbo nyingi zenye ujumbe.

snoopy dogy na soulja boy sijuagi wanaimba hip hop gani hawa jamaa wana nyimbo nyimbo nyingi zisizo na mbele wala nyuma.

lakini mkuu 2pac wa hit em up si wa brenda got a baby au To live and die in L.V au Eminem wa killshot si yule wa like a toy soldier

Hit em up ilikataliwa na Redio almost zote baada ya kutoka.
 
Darasani ushindwe kupata maarifa.. uje upate kwenye mziki?? Wa kizazi kipya???...
 
Mikasi ya ngwear........twenzetu ya chege.... ...matawi ya juu ya langa.... Makuzi ya nay.......sio hipbhop tu
Vp na
rafiki wa kweli by langa
Baba msaliti by p the mc
Nipe tano by daz nunda
Nikusaidiaje by pf jay
Na nyingine kibao nazo ni za matus?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom