Drake anazidi kuvunja record USA

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,244
39,161
Akiwa na miaka 10 kwa industry Rapper drake aka drizzy siku ya jana aliweza kuvunja na kuweka rekodi yake mpya kwenye charts kubwa duniani za billboard. Billboard ilimtangaza drake kuvunja rekodi ya kuwa na top 10’s nyingi hiyo baada ya kufanikiwa kuingiza ngoma mbili (2) top 10 ambazo ameshirikishwa na Dj khaled.

Ngoma hzo mbili POPSTAR iliyoingia nafasi ya 3 na GREECE iliyoingia nafasi ya 8. Kabla drake alikuwa sawa na madonna mwenye ngoma 38 top 10.

Adjustments.jpg


IMG_2026.jpgPia drake ndo msanii aliyeingiza ngoma nyingi kwenye charts hzo mpaka sasa ameingiza jumla ya ngoma 224 kwenye charts hizo. Pia mkali huyu anashikilia record nyingine kibaoo
Adjustments.jpg
 
Back
Top Bottom