Nyimbo za injili msimu 2017/2018 za muda wote

omarion5

JF-Expert Member
Oct 14, 2017
5,206
17,677
Habari wakuu?

Watu wengi wamekuwa wakiangaika mahali ambapo wanaweza kupata nyimbo ambazo hawatachoka kusikiliza. Hii hapa ni orodha ya nyimbo zote nzuri za misimu tajwa.

Orodha bora ya mziki wa injili(20)

1. Todd dulaney- The Anthem

2. Maranda curtis- Open heaven

3. Marvin sapp- Listen

4. Brian courtney- A great Work

5. Kelontae Gavin- No Ordinary Worship

6. Anthony Brown- Trust In You

7. Vashawn Mitchell- Joy

8. Hill Song United- Who You say I'm

9. Jason Nelson- Forever

10. William Murphy- love You

11. Donnie Mcclurkin- I Need You

12. Tamela Mann- Change Me

13. Travis Greene- Made a Way

14. Jj hairston & youth Praise- You deserve It

15. Tauren Wells- Known

16. Toby Mac- Everything

17. Tauren wells- Hills and Valley

18. Isabela Davis- Jesus we Love You

19. Todd dulaney- Your Great Name

20. Maranda curtis- Nobody Like You Lord
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu

Nipate jina la wimbo au link niudownload
 
Back
Top Bottom