Naomba kufahamishwa haya kuhusu Mieleka

Naomba kufahamishwa haya kuhusu Mieleka

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Kuna maswali najiuliza kwenye hii professional wrestling ambayo wanasema sio ya kweli bali ni show kwa ajili ya entertainment hivi wa nafanya katika haya:
-zile ngumi, mateka vinavyopigwa wanafanyaje.
-zile viti na meza nk wanavyopigana navyo inakuwaje
-zile sarakasi wanazoruka
-je watu wanaumia na wengine kuvunjika inakuwaje.
-Na zile damu ni za kweli
-na kuhusu wale mashabiki wanakuwaje au nao ni makajanja pia

Kwa hayo machache naomba kujua
 
Ndio ni entertainment.
Ngumi hawapigi kweli kwa nguvu onayoona, kishindo cha Ngumi kinatokana na wao kupiga mguu chini katika sakafu ya ulingo ambayo imeunganishwa na microphone na kwenda kwenye speakers ndio maana unaona Ngumi ni ya kishindo sana.

Pia wanasaidiana wasiumizane ingawa sometimes wanahitaji kupata pain.

Viti ni vyepesi mno hivyo havileti maumivu unayozania ingawa ninaumiza.

Hata katika kunyanyua mtu yule anayenyanyuliwa hujirusha ili abebwe au kunyanyuliwa kirahisi.

Mateke yanazuiwa na mikono, hata moves nyingi wanajua namna ya kupiga na kupigwa.

Pia Wana-exaggerate mapigo ili mtu aonekane kapigwa kwa nguvu, mfano mtu anasukumwa naye anajidondosha ili ionekane kasukumwa kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ni professional wrestler kama ulivyosema, very well trained wakaiva!
Yale wanayofanya matukio mengi yanakuwa yamekwisha pangwa, hakuna ngumi za kweli, angalia vizuri wanavyokunja mikono!
Refa ndio kila kitu pale, huwa anatoa ishara na miongozo ambayo kwa wengine wasiojua inakuwa ni ngumu kujua kuwa wanawasiliana!
Vile viti na meza vimetengenezwa kwa material ambazo ni laini na zinamomonyoka kama inavyotokea wanavyopigana kwa kuvitumia!
Sarakasi wanaruka kweli kwa sababu ni baadhi ya mambo wanayokuwa wamefunzwa na kufuzu vyema!
Wengine huumia na kutoka damu, kuvunjika na hata kupoteza uhai, pale wanapokesea step au kwa bahati mbaya!
Mabifu yote yanayotokea ulingoni ni ya kutengeneza, nje ya ulingo ni marafiki japo zipo bifu nyingine zinazoweza kuendelea nje ya ulingo kwa malengo maalumu hasa kibiashara!
Lakini pia wrestlers wale hutumia steroids, ambazo ndio zinawapa nguvu na stamina zaidi ya kufanya yale wanayoyafanya!
Wanavyosema usijaribu, basi usije ukajaribu kweli utavunjika shingo ukijiona!!
 
it's fake,show zao ziko scripted Ni Kama maigizo,...hapa twaongelea world wrestling entertainment(WWE)
Wana ukumbi wao wanauita performance centre,hapo hufanya mazoezi na kuandaa scripts zote kwa ajili ya next show,...
jiulize wakina Joshua in boxing akina khabib nurmagomedov in UFC wanafight only once a year ila wwe kilA baada ya siku mbili wako kwa ring
 
Ndio ni entertainment.
Ngumi hawapigi kweli kwa nguvu onayoona, kishindo cha Ngumi kinatokana na wao kupiga mguu chini katika sakafu ya ulingo ambayo imeunganishwa na microphone na kwenda kwenye speakers ndio maana unaona Ngumi ni ya kishindo sana.

Pia wanasaidiana wasiumizane ingawa sometimes wanahitaji kupata pain.

Viti ni vyepesi mno hivyo havileti maumivu unayozania ingawa ninaumiza.

Hata katika kunyanyua mtu yule anayenyanyuliwa hujirusha ili abebwe au kunyanyuliwa kirahisi.

Mateke yanazuiwa na mikono, hata moves nyingi wanajua namna ya kupiga na kupigwa.

Pia Wana-exaggerate mapigo ili mtu aonekane kapigwa kwa nguvu, mfano mtu anasukumwa naye anajidondosha ili ionekane kasukumwa kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na hivyo lazima uwe trained vya kutosha ili uweze kufanya hayo
 
Wale ni professional wrestler kama ulivyosema, very well trained wakaiva!
Yale wanayofanya matukio mengi yanakuwa yamekwisha pangwa, hakuna ngumi za kweli, angalia vizuri wanavyokunja mikono!
Refa ndio kila kitu pale, huwa anatoa ishara na miongozo ambayo kwa wengine wasiojua inakuwa ni ngumu kujua kuwa wanawasiliana!
Vile viti na meza vimetengenezwa kwa material ambazo ni laini na zinamomonyoka kama inavyotokea wanavyopigana kwa kuvitumia!
Sarakasi wanaruka kweli kwa sababu ni baadhi ya mambo wanayokuwa wamefunzwa na kufuzu vyema!
Wengine huumia na kutoka damu, kuvunjika na hata kupoteza uhai, pale wanapokesea step au kwa bahati mbaya!
Mabifu yote yanayotokea ulingoni ni ya kutengeneza, nje ya ulingo ni marafiki japo zipo bifu nyingine zinazoweza kuendelea nje ya ulingo kwa malengo maalumu hasa kibiashara!
Lakini pia wrestlers wale hutumia steroids, ambazo ndio zinawapa nguvu na stamina zaidi ya kufanya yale wanayoyafanya!
Wanavyosema usijaribu, basi usije ukajaribu kweli utavunjika shingo ukijiona!!
Asante kwa ufafanuzi nzuri. Kuna vitu sikuvijua kabisa kama ushiriki wa refa katika mchezo.
Na kweli hawa jamaa ni professional maana zile "stunts" ni hatari mno .
Wanastahili kulipwa mihela kibao kwani entertainment yao sio ya kitoto
 
Ndio ni entertainment.
Ngumi hawapigi kweli kwa nguvu onayoona, kishindo cha Ngumi kinatokana na wao kupiga mguu chini katika sakafu ya ulingo ambayo imeunganishwa na microphone na kwenda kwenye speakers ndio maana unaona Ngumi ni ya kishindo sana.

Pia wanasaidiana wasiumizane ingawa sometimes wanahitaji kupata pain.

Viti ni vyepesi mno hivyo havileti maumivu unayozania ingawa ninaumiza.

Hata katika kunyanyua mtu yule anayenyanyuliwa hujirusha ili abebwe au kunyanyuliwa kirahisi.

Mateke yanazuiwa na mikono, hata moves nyingi wanajua namna ya kupiga na kupigwa.

Pia Wana-exaggerate mapigo ili mtu aonekane kapigwa kwa nguvu, mfano m
Asante kwa ufafanuzi nzuri. Kuna vitu sikuvijua kabisa kama ushiriki wa refa katika mchezo.
Na kweli hawa jamaa ni professional maana zile "stunts" ni hatari mno .
Wanastahili kulipwa mihela kibao kwani entertainment yao sio ya kitoto
Pamoja na hivyo lazima uwe trained vya kutosha ili uweze kufanya hayo

tu anasukumwa naye anajidondosha ili ionekane kasukumwa kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna wacheza mielekaa waliowahi kupoteza uhai kutokana na huu mchezo???? kama wap mfano nani?
 
I
Asante kwa ufafanuzi nzuri. Kuna vitu sikuvijua kabisa kama ushiriki wa refa katika mchezo.
Na kweli hawa jamaa ni professional maana zile "stunts" ni hatari mno .
Wanastahili kulipwa mihela kibao kwani entertainment yao sio ya kitoto
Ingia youtube tafuta..utaona wapo youtubers wameongelea na picha wameweka kukufanya uelewe kitu gani huwa kinaendelea,utaondoa wasiwasi na kupungua kwa maswali.
 
Hivi kuna wacheza mielekaa waliowahi kupoteza uhai kutokana na huu mchezo???? kama wap mfano nani?
Wapo, kwa mfano Owen hart alifariki miaka ya tisini, nadhani ni kati ya 1995 hadi 1998
images(18).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I
Ingia youtube tafuta..utaona wapo youtubers wameongelea na picha wameweka kukufanya uelewe kitu gani huwa kinaendelea,utaondoa wasiwasi na kupungua kwa maswali.
Sawa kaka.
Lkn kuna maswali you tube haijanibu mfano wale mashabiki wa naona hayo maigizo au nao ni sehemu ya igizo
 
Ndio ni entertainment.
Ngumi hawapigi kweli kwa nguvu onayoona, kishindo cha Ngumi kinatokana na wao kupiga mguu chini katika sakafu ya ulingo ambayo imeunganishwa na microphone na kwenda kwenye speakers ndio maana unaona Ngumi ni ya kishindo sana.

Pia wanasaidiana wasiumizane ingawa sometimes wanahitaji kupata pain.

Viti ni vyepesi mno hivyo havileti maumivu unayozania ingawa ninaumiza.

Hata katika kunyanyua mtu yule anayenyanyuliwa hujirusha ili abebwe au kunyanyuliwa kirahisi.

Mateke yanazuiwa na mikono, hata moves nyingi wanajua namna ya kupiga na kupigwa.

Pia Wana-exaggerate mapigo ili mtu aonekane kapigwa kwa nguvu, mfano mtu anasukumwa naye anajidondosha ili ionekane kasukumwa kwa nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Masonic games utatolewa kafara
 
Vipi kuhusu mashabiki?
Na wao ni programmed au?
 
Training ni lzm kwenye mchezo huu ndio maana huwa wanatoa angalizo, usijaribu ovyo ovyo, binafsi nimewaona live mwaka 20!7 walipokuja nchini Afrika kusini
Nalog off
 
Mkuu wewe una madini tutoe tongotongo maana kamba nyingi hapa kazi kuuponda mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app

kiukweli WWE ni 50% 50%, kuna ufeki umo hasa kwenye utengenezwaji wa storyline ( zile story karibia zote ziko scripted, na kuna mpaka script writer na director) uingiaji ( uko scripted ) , matokeo ( hapa nako ni 50% 50% ) na umaliziaji ( ni pre-determined ), bleeding nyingi ni fake ( kutumia nyembe kujikata ) ila baadhi ni real, mtu anakua busted open kwelikweli

moves/sarakasi ni real ( ndio maana wanasomea mpaka vyuoni uko ) , impact/hit baadhi ni faked, na injuries ni inevitable/real kwakua moves ni real, yeah unawezasema ajali kazini,

Paige na Wilson hawawezi rudi tena ulingoni kwa sababu ya neck injury ( Paige) na Spinal injury ( Wilson)

nakumbuka Rowdy wakati anaondoka WWE alisema WWE ina ufeki, akakrashiwa na wenzake akina Alexa Bliss na Lana ( kwa kumwaga mchele/siri nje 😀 )

Alexa Bliss says Ronda Rousey calling WWE fake is 'disrespectful'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom