Habar wana JF
kwa wakubwa, Shkamooo!
Jioni ya leo katika pita pita zangu nimekutana na kijana yupo anasikiliza huo wimbo kupitia simu ake (****mbele kwa mbele) kweli nilimtizama kwa hasira sana...
Wakuu habari,
Nimetokea kukapenda haka kajingle ka Clouds, ka jamhuri ya wapambanaji nadhani ile ni sauti ya Ruby.
Naomba ambaye anaweza nisaidia kuipata anipandishie tafadhali.
Kwa wale wanaofuatilia Idols SA season 16. karibuni tutetee.
Top 16 hawa hapa. Succedor anajua saana huyu kijana. Nilipenda audition ya groups ile combination yake, Brandon na Bruce Mr Music...
Ndugu zangu namba tukutane hapa ili tuweze kupeana movies kali zinazohusiana na mazombi tu na vampire.
Zombies wa movi hiz wawe sio wale wa kupiga hatua moja moja yaan hata kukimbia hawawezi...
SIMULIZI-MJI WA LAANA-1
MTUNZI-SHADU
TELL-0677884981
UTANGULIZI.....
Kila mwanadamu ana mitihani ya kidunia ambayo
inaweza kumkatisha tamaa ili asifikie malengo yake
ambayo alikuwa amejipangia...
Wakuu mnakumbuka mwaka flani Jay-Z alikua nomenated kwenye cartegories 8 kwenye tuzo za GRAMMY lakini mwisho wa siku akaambulia zero (sifuri) yaani 0/8?
Naona GRAMMY walikusudia kumdhalilisha...
Wasaalaam wakuu ngoma mpya kutoka katka ufalme,
huu hapa ni uchambuzi usio rasimi nitachambua baadhi ya mistari nilio ielewa
Alikiba kuna mstari kaimba[emoji116]
"Bruu mpaka chini pigooo...
TATHIMINI YA SOKO LA MUZIKI TANZANIA NA WASANII WA FILAMU
Naitwa Don Nalimison ni moja ya Wanamuziki nchini Tanzania ninayefanya mziki katika Lugha ya Kiingereza cha Kiafrika. Leo nataka...
Ahlan wasahlan wanajamvi,
Hopefully mko poa.
Ni yule yule mzee wa kuumiza gonamwitu a.k.a Santiago Pandamunio a.k.a Masokolindo Mavi ya Kuku.
Back to the topic. Kiukweli kunako viunga vya WCB...
DEDICATED TO IBRA87 RIP, Inspired by true story.
UTANGULIZI
Katika maisha mapambano hayaepukiki,Wakati wa kutunga mimba mbegu moja ya kiume hupambana na zingine milioni 45 kurutubisha yai...
Nigeria ni nchi ambayo imeendelea sana ukiacha maendeleo ya kiuchumi na kijamii kwenye upande wa burudani wapo vizuri.
Wanaijeria ndo wameshikilia soko la muziki na filamu Afrika nzima.
Wana...
Nashukuru sana uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kama mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya Amani na wanafunzi wa vyuo kupinga dhana potofu kwa...
Miaka mingi imepita na siku nazo kusonga tangu Familia ya Mr Spafford aliyeishi huko Chicago Marekani kupatwa na dhoruba na mtikisiko mkubwa na huzuni kuu isiyo na kifani.
Mr Spafford alikuwa...
ONYO
Hairuhusiwi chini ya miaka 20
UTANGULIZI
Kinukamito, ni mwanamke asiyedumu katika mahusiano au ndoa kutokana na sababu mbali mbali. Kusema ni mwanamke ambaye hudhaniwa ana mkosi kutokudumu...
Habari wana JF!
Please, kama kuna mtu ana kile kibao cha yule mwanamuziki Munishi kinachoitwa CCM naomba anipatie hapa.
Yule jamaa yupo wapi siku hizi?
"miss sana yule mtu"