Matembezi ya amani chuo cha IFM

Matembezi ya amani chuo cha IFM

Shamira Mshangama

New Member
Joined
Jul 16, 2020
Posts
1
Reaction score
1
ce9b85b1-439a-4348-a38c-749cd9e29361.jpg

Nashukuru sana uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kama mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya Amani na wanafunzi wa vyuo kupinga dhana potofu kwa wanafunzi wa vyuo. Kundi letu lilikuwa pamoja na washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss IFM

#KataaMitazamoHasiVyuoni
 
Attachments

  • Adjustments.jpg
    Adjustments.jpg
    380.6 KB · Views: 11
View attachment 1531606
Nashukuru sana uongozi wa serikali ya wanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kama mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya Amani na wanafunzi wa vyuo kupinga dhana potofu kwa wanafunzi wa vyuo. Kundi letu lilikuwa pamoja na washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss IFM

#KataaMitazamoHasiVyuoni
Ni jambo zuri
 
Mitazamo gani hasi unayoisema kuhusu wanavyuo unayoisema?

Maana kwa sasa wanachuo wa kike wengi wanapigwa miti kimasihara sana. Na huo ndio uhalisia. Sasa sijui tatizo ni huo mtizamo wao wa kujirahisisha au ndio sehemu ya masomo ya vitendo wanayojifunza vyuoni?
 
Back
Top Bottom