gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 703
- 707
Ahlan wasahlan wanajamvi,
Hopefully mko poa.
Ni yule yule mzee wa kuumiza gonamwitu a.k.a Santiago Pandamunio a.k.a Masokolindo Mavi ya Kuku.
Back to the topic. Kiukweli kunako viunga vya WCB huyu msanii wa kuitwa Lavalava kwa uwezo mdogo alionao na kushindwa kubadilika kuendana na gemu, kaishikilia nafasi yangu WCB. Katika nafasi ya Lavalava walitakiwa wanisainishe mimi kutokana na uwezo wangu wa kuandika, kujua kutengeneza melody kali, sauti yenye punch, uwezo wa kuimba aina ya muziki zaidi ya mmoja. Nina uwezo wangu kuchana, kuimba bongofleva, reggae, dancehall n.k
So, baada ya Harmonize kusepa WCB inahitaji kuni-sign msanii kama mimi japokuwa bado sijarekodi ngoma hata moja but I'm still in process coz nilikuwa bize na chuo halafu si unajua masomo ya engineering esp civil engineering ilivyokuwa ya moto. But now I'm done with my college and I'm free to do music so let's wait and see how I'm going to trash them like hell.
Siyo kwa ubaya, siyo kwasababu nina chuki, la hasha! Ila huu ni ukweli mchungu kutoka kwenye kabati ya maktaba ya moyo wangu iliyojaa hekima na busara tele.
"See you at the top guys"