Wapenzi wa Big Brother Naija Lockdown tukutane hapa

Wapenzi wa Big Brother Naija Lockdown tukutane hapa

Gordita

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
11,579
Reaction score
55,644
Hello guys,

Kwa wale mnaofuatilia Bb naija lockdown karibuni sana huu uzi ni wetu wetu.

ledada
Screenshot_20200725-074518_Instagram.jpg
 
bado imepooza naona..ila so far my favs ni dorathy, Laycon, Kiddwaya, Neo na Erica. Praise ananijia kwa mbali ngoja nione hadi next week
 
Hatimaye Laycon mfalme wa maunderground wa vina kachukuwa. Ila si kwa percentage ile kawaacha top 5 wenzake mbali sana!!
Laycon anaweza kuwa the most successful winner kuliko mercy au washindi wote waliopita wa BBN kutokana na kuwa na celebrity support kubwa, u yoruba nk!!
 
Back
Top Bottom