Sometimes mtu akikushusha muoneshe jeuri

Planett

JF-Expert Member
Mar 20, 2014
10,415
15,940
Wakuu mnakumbuka mwaka flani Jay-Z alikua nomenated kwenye cartegories 8 kwenye tuzo za GRAMMY lakini mwisho wa siku akaambulia zero (sifuri) yaani 0/8?

Naona GRAMMY walikusudia kumdhalilisha Jay-Z lakini unajua Jay-Z mwenyewe alifanya nini kuonesha kwamba kwake ile haikua big issue?

Kwanza katika wimbo wao unaoitwa APE SHIT kuna mstari anasema TELL GRAMMY FU**K THAT ZERO FOR EIGHT SHIT then video ya huo wimbo akaenda kurekodia kwenye makumbusho moja inaitwa LOUVRE.

Imagine kukodi LOUVRE kwamba hakuna mtalii yeyote kuingia hiyo siku. Nadhani gharama za kukodi ile makumbusho inaweza kua mara 100 ya value ya hizo tuzo zote 8 alizokosa GRAMMY. Hivyo ndio inatakiwa, mtu akitaka kukudharirisha muoneshe kua wewe ni JEURI.

Hii ndio louvre yenyewe.

LOUVRE.jpg
 
Back
Top Bottom