Wimbo Mpya wa King Kiba (Mediocre)

Asksr

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
289
1,000
Hivi tim kiba ni mashabiki au wajumbe??? haiwezekani kabisa nyimbo ya dodo inapitwa views na karatini waliokuwa wanaiponda. Anyways,ngoja ntulie niweke akiba ya maneno usikute nyimbo zake zote zipo kwenye traffic na jamaa hasemi kwa sababu hapendi show off, siku YouTube wakitoa data kamili unakuta mwana imeipita views hadi despacito 🏃🏃🏃
 
The bond

Member
Jul 24, 2019
51
125
Hivi tim kiba ni mashabiki au wajumbe??? haiwezekani kabisa nyimbo ya dodo inapitwa views na karatini waliokuwa wanaiponda. Anyways,ngoja ntulie niweke akiba ya maneno usikute nyimbo zake zote zipo kwenye traffic na jamaa hasemi kwa sababu hapendi show off, siku YouTube wakitoa data kamili unakuta mwana imeipita views hadi despacito
Yanii mwanaume unaandikaa andikaa vitu kama ambaruty hafu chukiii kama mdada asee ...hafu mbna unapoteza sifa za kigentle mzee utapelekwa Mombasa mende wengi
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,085
2,000
Hivi tim kiba ni mashabiki au wajumbe??? haiwezekani kabisa nyimbo ya dodo inapitwa views na karatini waliokuwa wanaiponda. Anyways,ngoja ntulie niweke akiba ya maneno usikute nyimbo zake zote zipo kwenye traffic na jamaa hasemi kwa sababu hapendi show off, siku YouTube wakitoa data kamili unakuta mwana imeipita views hadi despacito

Kwahiyo views zinapima ubora wa wimbo, watoto wa siku hizi sijui mmekuwaje dah!
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,549
2,000
Huyu dogo angekuwa anaweza kujibrand vizuri, hakuna msanii wa east africa angemkuta kwa mafanikio,sema huo ndio udhaifu wake anashindwa hata na wanaoimba kikawaida tu
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,085
2,000
Huyu dogo angekuwa anaweza kujibrand vizuri, hakuna msanii wa east africa angemkuta kwa mafanikio,sema huo ndio udhaifu wake anashindwa hata na wanaoimba kikawaida tu

Akina nani hao wanaimba kawaida na wanamshinda?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom