Uchambuzi wa mistari baadhi kwenye nyimbo mpya ya Alikiba Mediocre

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Wasaalaam wakuu ngoma mpya kutoka katka ufalme,

huu hapa ni uchambuzi usio rasimi nitachambua baadhi ya mistari nilio ielewa

Alikiba kuna mstari kaimba

"Bruu mpaka chini pigooo
"Unataka uking wa mafumboo
"Mimi ndio baba kingdom
"Tena mnaji show huyu comandoo, steji mafundoo
"wachafu wa roho waongeza zeroo, washung'uno.

Uchambuzi

Bruu mpaka chini pigo = alimanisha ile puuuu mpaka chini harmonize kwenye yanga day alivyo dondoka na kamba harafu bado anjiita jeshi comando

Wachafu wa roho waongeza 000= mara nyingi hii imezoeleka baadhi ya vitu pale wachafu WCB wakifanya jambo huwa wanalikuza ndio maana ya kuongeza sifuri

Mwisho kabisa Alikiba kaona hakuna wa kurithi ufalme wake wa bongofreva kaamua amrithishe mbuzi,

Hapo kwenye mbuzi hili ni fumbo huenda siku za hivi karibuni kingkiba akasitaafu mziki.

Nitaendelea na uchambuzi twende na hii kwanza



Exalioth.



FB_IMG_1600978802234.jpeg
 
Sijui kwanini huwa nahisi Ali Kiba ananuka mdomo
we joanah wewe loh. Mimi kuna mwanamziki mmoja bongeee kupitiliza...huwa nahisi ananuka na kusweat kila dakika. Sijui mke wake anamvumilia vipi
 
we joanah wewe loh. Mimi kuna mwanamziki mmoja bongeee kupitiliza...huwa nahisi ananuka na kusweat kila dakika. Sijui mke wake anamvumilia vipi

Inawezekana wananuka kweli🤣🤣🤣

Huyo mwanamuziki bonge ni nani?Mpoto ama Msechu?😂
 
Ila angejitaiti kuutengenezea mafumbo usijulikane wazi rakini kwa alivyoimba hata mtoyi anaweza akagundua jiwe gizani linamlenga nani
Personally nimejifunza kwamba anaye hifadhi chuki ndio anayeumia zaidi.
 
Back
Top Bottom