enjoy kama ulikuwa unautafuta na bado unauhitaji!
nitautafuta bila shakaHebu naomba uutafute na ule wa Sanura...umeimbwa na hawa Makondeko group.
nitautafuta bila shaka
dah, aisee yaani acha tu......kuna watu wametangulia mbele ya haki wakiwa wametuachia masikitiko sanaHuo wimbo ulikuwa ukipigwa RTD unaingia hadi kwenye roho, mwili na mifupa. Nyimbo nyingine ni Chaupele, Tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...wasanii wake hata siwafahamu.