Hivi jamani ni lazima mtu ukitaka kufanya mziki lazima ufanyie Dar ili utoke??

Chinga_tz

Member
Sep 20, 2020
29
75
Maana huku mikoani kuna wasanii wa ndani lakini hata hawajulikani na hata media kama radio za ndani ya mkoa hazipigi nyimbo zao.haziwatambui kiujumla
 

Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,018
2,000
Media kubwa zote ziko Dar, Studio kubwa zote ziko dar, Locations kali za kizazi 80% ziko Dar, Sasa huko namtumbo unafanya nini tena mkuu wakati industry iko DAR
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom