Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu huko Youtube nimekutana na huu wimbo wa Roma Zimbambwe na hii Comment ya Jamaa imenifungua mengi sana, maana toka wimbo utoke sikuwahi kuelewa. Je, kuna ukweli wowote...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapenzi wa movie wanaelewa nini nimeuliza hapo juu. Naomba nisipoteze muda sanaaa kwenye hili Kama umewahi kuona series ya blacklist naam utakuwa unamjua fika Raymond Reddington mzee alietumia...
3 Reactions
37 Replies
5K Views
Nafikili sehemu hii itakuwa muhimu kwetu kujuzana movie mpya na link za kutazama au ku download cha msingi kama unamovie umeisikia ujawai kuiona tuambie na sisi tutakupa link utaweza ku download...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
binti jinxiu familia yake inauliwa yote na wajapan anapona peke ake anakwenda mjini huko anakutana n a na dada yake lakini dada hamtaki naye anataka kulipa kisasi kwa vile baba ake na binti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Evening wakuu Katika kumalizia weekend nimekaa nacheki hii series ya next daaah huu mzigo ni balaa kwa wale wapenda movie za sci-fi hii si ya kukosa Nilichoona humu ni kwamba watu tunashangilia...
0 Reactions
1 Replies
536 Views
Tupia wimbo wowote ulioimbwa miaka hiyo unaoukubali. Ukiwa na maelezo ya wimbo husika (mfano Kwa nini uliimbwa,msanii au wasanii na mwaka uliombwa) itakuwa njema Sana. Lakini pia unakukumbusha...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
THE PALE DOOR Jake na Duncan ni watoto wawili wa kiume waliotiwa uyatima na majambazi walioua familia yao na kuteketeza kabisa makazi yao kwa moto. Bahati nzuri waliokoka. Miaka kadhaa mbele...
3 Reactions
3 Replies
982 Views
Huwa siangalii kabisa filamu za Bongo Movie, lakini hii ya Danga naomba niseme kwamba nimekaa madakika mengi naitazama. Ilikuja tu kama recommendation ya You-Tube nikasema niicheki na kukuta...
18 Reactions
36 Replies
7K Views
Nilikua naomba kuuliza jambo ... Kuna hii huduma ya VOD inayomilikiwa na multchoice Africa inaitwa SHOWMAX nilikua nataka kufahamu je kuna muundo mwingine wa malipo wa hiyo huduma mfano mpesa ...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ngoma inaitwa BABA na imeimbwa na STAMINA, Profesa J na ONE SIX. Hakika iko kiwango na video yake ni nzuri ikimshirikisha mama Kanumba ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kabisa. Hizi ndio...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu mwamba Mkongwe Mr. Paul yuko wapi siku hizi na anafanya nini? Aliimba huu wimbo kwenye video yuko na demu wa kihindi nakuzimia na Zuwena remix.
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Watanzania tumekuwa tukiubeza mziki wa singeli lakini kuna wakati utafika kuna nchi itaupora na kuuongezea ubunifu. Wataupa jina lingine na sisi tutaanza kulalamika kama kawaida yetu. Singeli is...
1 Reactions
6 Replies
960 Views
ONGEA NA MWANAO-MAALIM NASH .Hii vitasa Moto [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Video Bora ya Kwanza ya hip hop mwaka huu
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu, hii ngoma ya stamina ft prof jay ni ngoma ya kufikilisha sana yani, nakumbuka miaka 1990s mpk 2000s.
1 Reactions
2 Replies
944 Views
RIWAYA: LOVE SPEAR 01 MTUNZI; AUTHOR XAV NAMBA; 0672493994 Email: xavemmanuel12@gmail.com ---------------------------- UTANGULIZI; MAPENZI ni moja kati ya njia ambayo kila binadamu anapaswa...
2 Reactions
15 Replies
16K Views
SCRIPT ZA IMA KUTOKA:KWA MSANII JOTO LA MOTO. SEHEMU YA KWANZA. NYUMBANI KWA MR BEN-SEBULENI-USIKU. Mama Esta, Mama,30, na Mr Beni, bwana, 35, wameketi sofani wakipata chakula huku wakipeana...
3 Reactions
94 Replies
29K Views
Hamjambo wakuu, Moja kwa moja, ukiwa Zanzibar km wew ni mnywaji usikose kwenda CCM, Nyuki na Mkoa, huku utakutana na pombe na wine aina zote, bila kusahau watoto wazuri kwa wasuza rungu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wale wazee wa kuruka tukutane hapa, Toa jina la ngoma na artist wake ukiweza kwa ngoma ambayo ukiisikia club huwezi kaa chini lazima uruke(ucheze) Ili tuwaweke sawa ma Dj wetu hapa Bongo. Crazy...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Kwanza unaweza kufikilia inakuwaje asichukuliwe mwanamuziki wa Marekani au mataifa mengine yaliyoendelea, pili ni kiasi gani cha pesa analipwa mwanamuziki huyo kutoka Afrika ya kaskazini...
5 Reactions
20 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…