Hivi Kilimpata Nini Rose Mhando

Hivi Kilimpata Nini Rose Mhando

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,318
Reaction score
845
Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo

Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama ana cheza, mama ana video kali.

Mungu ampe taafifu, arudi hali yake,[emoji120]
images (5).jpg
 
Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo

Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama ana cheza, mama ana video kali.

Mungu ampe taafifu, arudi hali yake,[emoji120]View attachment 1684501
Utakuta kwa sasa hana hata uwezo wa kumiliki Smartphone,,[emoji134][emoji24]
 
Anamlalamikia promote alikuwa na maisha mazuri sana nimebahatika kuishi karibu yake area c na ipagala kwa mwonekano wa saiv sizan kama anamiliki nyumba japo alikuwa Kajeng nyumba nzuri ipagala miaka ya 2008 na team yake ilikuwa inafanyia mazoezi hapo
 
Kwa Promota nchi nzima yuko m1 tu jaman
 
Mali bila daftari....
Naona anapita njia moja sasa na Mr nice,Saida,RayC, na wengineo.
Btw ajipange upya kama unajua unajua tu
Tumpange Wazee, tuongee na Moderator humu tumfundraise
 
Mali bila daftari....
Naona anapita njia moja sasa na Mr nice,Saida,RayC, na wengineo.
Btw ajipange upya kama unajua unajua tu
Tumrudishe kwenye Game,
Tuongee na Moderator humu tumfundraise aback kwa game, ile radha co yakupoteza hvhv [emoji26]
 
Nibembeleze nibebe,,,,,nimeonja utamu wa yesu

[emoji16][emoji16] cjui alifikiria nn kuimba ivyo.

Cjui kilimkuta Nini kwa kweli[emoji23]
Ni the Best Gospel Singer Ever,,

Siunakubali hili au una shaka nalo
 
Anamlalamikia promote alikuwa na maisha mazuri sana nimebahatika kuishi karibu yake area c na ipagala kwa mwonekano wa saiv sizan kama anamiliki nyumba japo alikuwa Kajeng nyumba nzuri ipagala miaka ya 2008 na team yake ilikuwa inafanyia mazoezi hapo
ile nyumba yake ya ipagala alipiga bei??
 
Tumrudishe kwenye Game,
Tuongee na Moderator humu tumfundraise aback kwa game, ile radha co yakupoteza hvhv [emoji26]
Sante Clouds kwa kunisikia,

Mmempa Airtime leo na Sunday Shangwe,,
 
Leo nimeusikia wimbo wake "Nitakushukuru" wa kitambo kidogo ukaniflashback enzi hizo

Ni Wimbo touchable sana uliotendewa haki sana sio kwa kuimba ni hadi video, mama anaimba, mama ana sauti, mama ana cheza, mama ana video kali.

Mungu ampe taafifu, arudi hali yake,[emoji120]View attachment 1684501
Namuona hapa anavyoiteka Sunday Shangwe,, mpk host kampsha studio

Ni habar nyingine kabisa huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom