Siku Music wa Singeli utakapoporwa na nchi zingine

MIGUGO

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,131
3,912
Watanzania tumekuwa tukiubeza mziki wa singeli lakini kuna wakati utafika kuna nchi itaupora na kuuongezea ubunifu. Wataupa jina lingine na sisi tutaanza kulalamika kama kawaida yetu.

Singeli is Underrated. Wasanii wetu wanaiga miondoko ya nje Naija, Lingala na South Africa. Ipo siku itatokea tunagombania kama ilivyo Kiswahili.
 
Alicia Keys alishatoa video anacheza singeli.

Washausikia.

Back
Top Bottom