Hii Ngoma ni Kali Mno na Kiwango

Hii Ngoma ni Kali Mno na Kiwango

MtuHabari

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
321
Reaction score
1,020
Ngoma inaitwa BABA na imeimbwa na STAMINA, Profesa J na ONE SIX.
Hakika iko kiwango na video yake ni nzuri ikimshirikisha mama Kanumba ambaye kaonyesha kipaji cha hali ya juu kabisa.
Hizi ndio ngoma za kupewa TUZO sio zile zinazodumu wiki mbili na kuchuja.

 
Weng hawataipenda maana imejaa ukweli mtupu n funzo kwa ss vijana
 
Back
Top Bottom