Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Ndiyo nimemuona jana, nimecheka sana. Hii clip imenichekesha kichizi.
7 Reactions
40 Replies
11K Views
Ninamfahamu Lista kama mwanamuziki mkongwe wa Tanzania lakini hivi sasa anaishi Japan, anajihusisha pia katika shughuli za uandishi wa vitabu mbalimbali vya muziki. Ameeandika vitabu vinavyo husu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza naanza kwa kucheka zamani kuna gazeti lilikuwa linaitwa Sani lilikuwa kuna watu wanachorwa mle kama hadithi kupelekea mazingira kuona kama ni binadam kweli. Hivi kuna mtu ashawahi kuwaza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. Kuna huu wimbo nilikuwa nikiusikia sana mwanzoni mwa miaka ya tisini. Chorus ya wimbo ilisema " Naona bora niende Zambia nikamtafute Monica, alinitoroka...
1 Reactions
25 Replies
19K Views
Mfano Sweete reggae --Busy signal-come over Hip hop--coolio-i see you when u get tgere Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine Country-kenny rogers-gamble Rnb-chris brown-with you Morden...
2 Reactions
16 Replies
9K Views
Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao. Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
A PLACE WITH NO NAME. (Sehemu isiyo na Jina) SEHEMU YA (1) Mtunzi........hemed mayugu UTANGULIZI. Ni Hadithi nzuri iliyoandikwa na Jumanne katika kitabu chake alichokitoa mwishoni mwa mwaka wa...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
Wale wapenzi wa rock na sio geni kwenu maana kuna nyimbo zinaeleza kuabudu shetani,mpaka kujiua au kufanya lolote, tokea rock kuwa na wapenzi sana. Kwa nini rock imekuwa kama jicho la tatu au...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yanaeleweka, lakini mengine ni mfanano na mengine ni kama kilugha, ni lugha ya wapi hii hapa bongo?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Sauti yake ni nzuri inafit vilivyo ndie mshiriki na mshindi wa BSS ninaemuelewa vilivyo kwa uwezo wake wa kuimba!. Sio kwamba wengine hawajui no,wanajua lakini huyu kwangu ndo best till now. BSS...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
Leo ni fainali ya Bongo star search. Washiriki sita watachuana ili kupatikana mshindi. Washiriki hao ni: 1. Yusuph 2. Magaritha 3. Elisha 4. Petro 5. Neema 6. Zanael Je, unahisi nani atakuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wandugu. Naomba msaada wa mtu kuniorodheshea zile nyimbo kalii zinazo Bamba clubs/sehemu zinazo amsha amsha ziwe za kibongo,afrika,au nchi yeyote ile.... Ahsanten, Karibuni Wana jf
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanabodi Nimefuatilia kipindi cha tuelekee Yeriko cha Upendo tv cha alhamisi 21:30hrs hadi 22:30hrs, mgeni kwenye kipindi hicho ni Rose [emoji257] Mhando. Ameeleza maisha yake, alivyofanyika...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Hallo! Mimi sio mtu wa kusafiri sana na mabasi. Lakini kwa muda mrefu sasa, imekuwa kila nikisafiri japo kwa mabasi tofauti tofauti, ni lazima nikutane na filamu zake. Huyu mwamba yupo kwenye...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
WANAWAKE NI WAUAJI Mtunzi/mwandishi HUSSEIN BAKARI MTOTO WA BECKER mtotowabecker@gmail.com 0713 46 26 29 _________________ EPS 01 ======== ******** “Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu kwa...
5 Reactions
190 Replies
42K Views
Ya kwanza niliitafuta sana aliimba fally ipupa na j martin Sasa hii ya pili inafanana na hiyo ila jina silijui ina kama sauti yake inasema "kibai bai baiii" jina tafadhali. Nyingine inaimba...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…