marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,106
- 1,948
Tamthilia za kituruki tam bana na lazima ni kiri nme kua mtazamaji mzuri sana wa hizi tamthilia za kituruki tangu Azam waanzishe huu mradi wao.
Kunazia kwenye Magnificent century(SULTAN) hadi hapa tulipo sihia kwenye KARA SEVDA(endless love) jamaa wako vizuri kuanzia story zao waahusika sound track kwa kifupi wako vizuri sana.
Wanatumia teknolojia za kawaida sana wala sio ma effect au ma CGI ya kutiisa ..ni vitu ambavyo hata wabongo wakiamua kua serious wanaweza kufanya.
Kara sevda imeisha leo japo mwisho wake umekua wa kuvunja sana moyo ni wmisho wa kusikisha sana hasa kwa wapenda haki ,na mpaka sasa sijaelewa kwanini story writer aliamua story ya hii tamthilia kishia hivi?
Kwa matazamo wa haraka ni kama mtunzi anajaribu kutuachia ujumbe kwamba “hata pambanie vipi jambo hauta fanikisha kulipata na hata ukilipata hauta ishi nalo “ ,why ! kwanini atuachie ujumbe wa kukatisha tamaa hivi?
Kifo cha Kemal mwishoni mwa tamthilia hii ni mwisho usio na matumaini kabisa ni mwisho ambao unanufaisha zaidi wahalifu kuliko watenda haki! ,, a kimsingi hajaacha somo linalo ijenga jamii kwa namna yoyote ile!
Kemal alipaswa kuishi zaidi ,kipindi chote cha miaka mitatu amekua akipigania uhai wake na upendo wake wa dhati kwa haki na kweli ,,tena alifata sharia hata kama ilikua ina mbana yeye mwenyewe au watu wake wa karibu!,Kwanini asiwe na happy ending ? ilitakiwa awe mchafu ndio ashinde akiwa hai?
Kimsingi Emir ni mshindi kasababu Agenda yake kwa kipindi chote ilikua ni Kemal na Nihan wasi ish ipamoja na Ameshinda! ,,,maana yake ?,,kwamba tunatakiwa kuwa watu kama Emir ili tushinde vita zetu. Mtunzi wa story alikua anajaribu kutuamisha kitu gani hapa .
Moja kati ya watu wadanganyifu ni Zaynab amemuuza kaka yake zaidi ya mara tatu na anaishi lakini Nihan alie kua Loyal mkweli na alie pambania upendo wa kweli ame baki na donda lisilo pona wakati Zayna kabaki a mwnaume anae mpenda Hakhan serious me nadhani title yah ii tamthilia ilifaa kua “THE EVIL WINS” na sio “ENDLESS LOVE”