Escape from Pretoria

Escape from Pretoria

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba anakwambia nimefikiria njia zaidi ya 100 ya kuroka humu lakini hakapata njia ya kutumia ufunguo wa mbao.

Hili dude ni shida moja ya movie zangu bora kwa muda wote.

images.jpg
 
Am going to check it right now...
 
Ninayo kwa phone hii kitu

Nlipenda pale mwishomwisho yule askari wa juu hakuwaona

Ngoma tamu pale wanapita ile barabara ya vumbi na vicheko vya kibabe.
 
Hii Movie mbona hamna kitu kabisa.
Ilinibidi nikaitafute baada ya kuona huu uzi wako.
Movie mbaya kinoma.
3.5/10 .
 
Washikaji wanapelekwa jela kwasababu ya harakati zaonza kutetea watu weusi huyo mwamba mmoja anafikiria namna ya kutoroka katika gereza hilo lililo South Africa gereza la watu weupe mwamba anakwambia nimefikiria njia zaidi ya 100 ya kuroka humu lakini hakapata njia ya kutumia ufunguo wa mbao.

Hili dude ni shida moja ya movie zangu bora kwa muda wote.

Iko vizuri nimeicheki!
 
Hii Movie mbona hamna kitu kabisa.
Ilinibidi nikaitafute baada ya kuona huu uzi wako.
Movie mbaya kinoma.
3.5/10 .
Ahahahahah
Nimedownload baada ya huu uzi.. Sijaiangalia bado. Ushanitoa mzuka😊..
Japo tegemea rating za level zote hata kama product ni A quality
 
Back
Top Bottom