BSS fainali 2021: Unadhani nani ataibuka mshindi?

Sheillah Sheillah

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
583
1,478
Leo ni fainali ya Bongo star search.

Washiriki sita watachuana ili kupatikana mshindi. Washiriki hao ni:
1. Yusuph
2. Magaritha
3. Elisha
4. Petro
5. Neema
6. Zanael

Je, unahisi nani atakuwa mshindi?
Itakuwa live st swahili kwanzia 20:30.
 
Hii kitu wengine tuliacha kuifuatilia baada ya kuamishwa itv na kuwekwa kwenye chanel maalum ya kisimbuzi cha star time. Wengine hatuwezi kuona kisa hatuna star time.
 
Hii kitu wengine tuliacha kuifuatilia baada ya kuamishwa itv na kuwekwa kwenye chanel maalum ya kisimbuzi cha star time. Wengine hatuwezi kuona kisa hatuna star time.
Na kweli mkuu, yaani natoka nyumbani nakwenda dukani kununua king'amuzi cha Sitaa Taimu?
 
Kama kwenye hyo list hakuna abubakary wa dar wala bruce basi ni takataka na hakuna mashindano hapo.
 
Back
Top Bottom