DJ Mkubwa awapo kwenye kipindi ana copy & paste...

Ruyama

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2019
Posts
367
Reaction score
563
Mimi huwa napenda old school (miziki ya kale)80's,90's na early 2000.

Kutokana na uchache wa muda nyimbo hizo kuchezwa redioni,napenda kwenda YouTube kusikilizana ikibidi ku download.

Weekend moja nipo nasikiliza kipindi cha old school mida ya jioni kupitia redio pendwa ya watu,ile ile playlist ya YouTube DJ anaicheza,sasa nikajiuliza ubunifu umeisha au laa.

Hiyo playlist imetengenezwa na Dj Ken B miaka miwili iliyopita,sasa naona ubunifu hakuna na YouTube inasaidia kwa ma dj wavivu.
 
Yawezekana huyo Dj Keb B ndie kadesa maaana chini ya jua hakuna Jipya bali vyote ni Marudio ttu
 
Mimi huwa napenda old school (miziki ya kale)80's,90's na early 2000.

Kutokana na uchache wa muda nyimbo hizo kuchezwa redioni,napenda kwenda YouTube kusikilizana ikibidi ku download.

Weekend moja nipo nasikiliza kipindi cha old school mida ya jioni kupitia redio pendwa ya watu,ile ile playlist ya YouTube dj anaicheza,sasa nikajiuliza ubunifu umeisha au laa.

Hiyo playlist imetengenezwa na Dj Ken B miaka miwili iliyopita,sasa naona ubunifu hakuna na YouTube inasaidia kwa ma dj wavivu.
Leo nilikuwa nasikiliza old xul za Efm ,nikashangaa wamepiga wimbo wa niki minaji wa 2010,nikasema r they seriously?? yaani unapiga wimbo wa snoopy what's my name 1993 kama old xul halafu unakuja kuchanganya na kina niki minaji wa 2010 hahhaaaa.
 
Unajua tokea 2010 hadi leo 2021 ni miaka 11 mzee muda umesonga fikiria 1994 Telvin Camble ulivyomsikia 2000 ulisikia vibe gani? au Naughty by Nature-Jamboree 1998 au 1999 Nas-Hate me now ulipoisikia 2010?
 
Aiseee Niki Minaji hauwezi kuniconvine kwamba ni old xul au wiz khalifa au tyger nope bado sana hawa atleast > 15 yrs kwenye game.
 
Old school zina wenyewe mkuu. Sikiliza hapa mawe ya DJ JD. Mimi Bongo namsikiliza Bony Love na JD full stop otherwise bora niruke na the Magnificent DJ JAZZY JEFF.

Hao wakongwe kwenye Game , yes DJ JD namfatilia sana tangu enzi yupo ITV2 , 101.4 FM late 90's , Music Boulevard ,The cruz,1416 etc
 
Old school zina wenyewe mkuu. Sikiliza hapa mawe ya DJ JD. Mimi Bongo namsikiliza Bony Love na JD full stop otherwise bora niruke na the Magnificent DJ JAZZY JEFF.

Mwambie JD aiweke full imeishia kwenye wimbo wa Soul 4 Real - I wanna be your friend ikakata.
 
Unamjua DJ Adrian wa Capital FM ya Kenya?JD hanusi hapoo

Back
Top Bottom