JMipicha
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 704
- 1,096
Habari wana JF
Leo ningependa ku share na nyie hivi unadhani kwanini bongo movie zetu bado tunasitasita japo kuna watu wenye uwezo mkubwa wa kufanya mambo ..
Embu chek hii clip alafu niambie[emoji116]
BONGE LA MOVIE KUTOKA BONGO LAND CLICK LINK[emoji1369]
Natumaini ndani ya muda mchache bongo action tutakuwa viwango vingine maana naona watu wapo seriously japo hkuna support ya kutosha kutokana na watu kukinai movie za bongo
Embu share ushauri wako nini kifanyike kuinua sanaa ya bongo movie kwenda next level
Asanteni [emoji1317]