Napenda unavyokata na kunipa taratibu

moyafricatz

JF-Expert Member
Nov 27, 2015
2,900
4,865
Niamini leo hii sitamani mwingine tena
Kazi zangu mishe mishe ntarudi nyumbani mapema
Unachonipa baby sitokaa nikuumize eeh
Na zile raha unazonipa wewe

Napenda unavyokata na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
Wewe tabibu, unanipa rahaa.

Unavyokata na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
Wewe tabibu, ni wewe

Usijefanya visa mimi na wivu
Na moyo utaniumiza mimi na wivu
Naogopa watakuteka mimi na wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu

Usijefanya visa mimi na wivu
Na moyo utaniumiza mimi na wivu
Naogopa watakuteka mimi na wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu

Naandika ngoma mapenzi nakuona wewe
Na vinanda vya bob vya bembeleza
Nishagoma kwingine…

Translate to English
 
Acha kujipa wakati mgumu muda wote,Ina maana upo busy 24 hours
Umeona eh .

Hao ndo hata kazi ya kufanya hawana ila kwenye comments huku wanajifanya kuuliza wenzao kama wana free time


Ili waonekane wao ndo wana kazi za kufanya .
 
Hata kama sipo busy, sipo free kiasi cha kuandika wimbo mzima wa jux na kutupia JF
Kweli huyu kilaza na mjuaji.

Hajui dunia imebadilika na kila kitu kiko online.

Watu tumekopi na ku pesti...yeye qnakwambia eti nimechukua muda kuandika....


Ujuaji ni kitu kibaya sana mbele ya wasomi,ONA SASA UMEUMBUKA .
Screenshot_20210306-173815_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom