abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Yanga katuroga Nan? Haiwezekan uongozi na Benchi la ufundi wanashindwa kuelewa Mapungufu yako wap
Kwa jinsi wachezaji wanavyo cheza wa yanga ni dhahir kabisa team haiko Sawa mfano mechi ya Leo team haikutulia kabisa yani kila ikikaba inatera mpira bila kuangalia wapi mpira unapigwa
Wachezaj wa yanga hawana utulivu Kabisa yani ni piga piga tu mpaka mtu unaona Aibu kuangalia team yako
Kama yanga inavyo cheza ni Maelekezo ya kocha Basi kaze hafai kuitwa kocha kabisa
Na kama ni uwezo wa wachezaj Basi team yetu ni mbovu sijapata kuona