Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,613 Reaction score 10,492 Sep 4, 2019 #1 Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana. Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard
Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana. Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard
Chief Editor JF-Expert Member Joined Feb 18, 2019 Posts 777 Reaction score 2,272 Sep 4, 2019 #2 Tunanyoa upara ili kupunguza bajeti ya sabuni
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 52,921 Reaction score 131,702 Sep 4, 2019 #3 Hivi mnaukumbuka mlima oldonyo lengai, mlima wa mungu uliopewa jina la kimasai/
R Raskazimi JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,196 Reaction score 1,371 Sep 4, 2019 #4 Cheki cypher ya castle lite unlocks YouTube uone kizazi kipya cha rap
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,413 Mar 7, 2021 #5 Kizibo said: Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana. Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard Click to expand...
Kizibo said: Kusema kweli hawa jamaa wa Tamaduni Music nawaelewa sana, uandishi wao, beat wanazotembea nazo na content/maudhui wanayoimba huwa nabarikiwa sana. Na hivi Niko zangu geto nasikiliza ENZI ZA UTOTO yake SONGA huku natabasamu nyuma ya keyboard Click to expand...